FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

Kitu gani kinachokufurahisha katika Hotel za kitalii?

Muonekano wa meza maybe....
Rangi za mashuka na style za utandikaji wake....
City view from the hotel
Ukubwa wa chumba...
style ya upangaji wa chumba...
colour of the room
Muinuko wa chumba
Ukaribu wake bahari....
Majengo yalivyopangiliwa......
Utulivu wa chumba na michoro kidogo.... ndivyo nipendavyo mimi....

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie