FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

Finally Kim Kardashian is expecting.... 3month now

Yule Diva wa tv mwenye skendo kila kukicha ameamua kushika Mimba ya Kanye West... She is 3 month pregnant .... Mwonekano kama kitakuwa kitoto cha kiume... Imagine swagger za mtoto zitakuwaje kama wazazi ndo wanajilipua hivyo

Sunday

Wema Sepetu sasa anaitwa Mama VannY.... Apata mtoto wa Kike

Baada mtoto wake wa kwanza Fiona kuchukuliwa na Mama sepetu... Leo wema anamtambulisha kwenu Mwanae wa Kike Ivana... Mwenyewe anamwita Baby VannY.... Wema anasema anampenda Mbwa wake kama mwanae wa kumzaa mwenyewe...... So she is finaly a mother of one katoto.... Mama wa mbwa mdogomdogo





Friday

Singer: Shakira afanikiwa kujifungua mtoto wa kiume

Mwanamziki anayesifika dunia kwa kutumia kiuno chake Shakira amefanikiwa kupata wa kiume usiku wa kuamkia leo... Mzazi mwenzie akiwa ndio mtu wa kwanza kuanika habari hizi alitumia account yake ya twitter kuandika "mtoto wetu wa kiume amefanikiwa kuzaliwa... Asanteni kwa pongezi...." I just wanna congratulate them and wish all the best in their new life kama baba na mama wa mtoto huyu ambae mpaka naandika post hii hatujapata jina lake.





Wednesday

SPECIAL POST TO WEMA SEPETU...ZAIDI YA 5MIL SIO KIDOGO

SIONI KAMA KUNA HAJA YA KUTO KUSHUKURU KWA BINTI HUYU MWENYE ROHO YA KIPEKEE.. USIKU WA TAR 8 DECEMBER, NILIPATA TUZO YA KUWA MBUNIFU BORA WA MAVAZI YA KIUME TANZANIA..... NI KITU KIKUBWA SANA KWANGU AND SIKUJUA KAMA WEMA SEPETU AMEGUSWA NA USHINDI WANGU... USIKU HUO HUO ALINIITA NYUMBANI NA KUNIKABIDHI TICKET YA NDEGE PAMOJA NA ALL TH RESERVATION.. SIKUAMINI NA NIKAHISI KAMA NADANGANYWA HIVI.. ASUBUHI THE NEXT DAY MARK X NYEUSI ILINIFATA NA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA AIRPORT.. MPAKA NAINGIA NDANI YA NDEGE NILIKUWA KAMA MASIHARA HIVI.. MAANA WEMA HAISHI VISA... AISEE NILIKUTANA NA SETI YA PURE SILVER TWO RINGZ PAMOJA CHENI YAKE NILIPOFIKA HOTELINI... PAMOJA NA VOCHER YA KUSHOP... DO I HAVE TO SAY IT ALL AND THEM PRICES?? NO WAY ACHA IBAKI KUWA HIVYO.. BATA LILIKUWA NDEFU KWANI NA YEYE ALIKUWEPO... MPAKA NIMERUDI DAR NAJIONA KAMA VILE IT WAS JUST SIMULIZI SIO KWELI IMETOKEA ILA NDO IMEKUWA HIVYO.... MUCH LOVE TO HER AND HER FUTURE LOVE MAANA WAO NDO WAMELIPIGIA GHARAMA ZANGU NZIMA.
TOKING TO HER ONE AND ONLY.
THANK YOU "MADAM BOSS WEMA SEPETU"

INSTAGRAM BUZZ...... #MY LOOKS #DAYS IN SANDTON #VACCATION #SOUTH AFRICA











MARTIN KADINDA OFFICIAL TANZANIA BEST MENS WEAR DESIGNER OF THE YEAR 2012


KWANZA NAPENDA KUSEMA NIMEAMINI HAKUNA KITU KIDOGO.... NILIKUWA NAONA NI JAMBO DOGO BUT THE WAY I FELT BAADA YA JINA LANGU KUTANGAZWA KUWA NDIO DESIGNER BORA KWA MWAKA HUU NILISISIMKWA NA MISHIPA YA DAMU NA KUHISI KAMA KUFA GANZI HIVI... ZILE SHANGWE NILIZOZISIKIA SIKUAMINI KAMA NI KIASI GANI WATU WANAKUBALI KAZI ZANGU.... IT WAS AN AMAZING FEELINGS... WALE MODELS SIJUI HATA WALITOKEA WAPI WOOTE WALIKUJA STEJINI KUNIPONGEZA......

NILIKOSA HATA NENO LA KUONGEA... I THINK PEOPLE EXPECTED ME TO SAY A WORD BUT SIKUWEZA KIUKWELI.. NILIKUWA NIMEPAGAWA.. NAJUA DESIGNER NILIOKUWA NAO KATIKA HIKI KINYANG'ANYIRO NI WAKALI ZAIDI YANGU NA WANAUWEZO ZAIDI  YANGU LAKINI NADHANI KUNA KITU CHA TOFAUTI NINACHO NDO KIMENIWEZA KUSHINDA... ILA NINAHESHIMU KAZI YA KILA DESIGNER.
WHY I KISSED WEMA SEPETU?? HILO NI SWALI NIMEULIZWA NA WATU WENGI... AND NIMEONA BAADHI YA MAGAZETI YAMESEMA NILIKACHA SHOW NA KWENDA KUMBUSU WEMA.... KIUKWELI HUYU MSICHANA AMEKUWA AKINIPA NGUVU SANA KATIKA KUFANYA KAZI ZANGU.. ALWAYS WEMA AMEKUWA AKINIAMBIA NIMEKUWA NIKITUMIA MUDA MWINGI KATIKA KAZI ZAKE AND I SHOULD FOCUS ON MY CAREER AS WELL.. KITENDO CHA KUMUONA KATIKA SHOW SIJUI HATA NIELEZE VIPI JINSI NILIVYOJISIKIA.. I HAD TO GO AND HUG HER.... NAKUPENDA SANA WEMA SEPETU HATA KESHO IKITOKEA AM NO LONGER YA MANAGER AND U HAVE MOVED ON WITH YOU LIFE TAMBUA NATHAMINI SANA MCHANGO WAKO KATIKA KAZI YANGU.. ALTHOUGH WE NI MSUMBUFU SANA ILA NAKUPENDA SANA TU.

AM BAAACK... AND STORI INAANZIA KATIKA SWAHILI FASHION WEEK... THIS WAS MY COLLECTION AT SWAHILI FASHION WEEK 2012, "KIMA COLLECTION" BY MARTIN KADINDA


I HAD VIBRANT COLOURS..... IT WAS ALL ABOUT URBAN YOUTH.. MOSTLY SHARP AND SMART LOOK

FROM THE MATERIAL TO THE CUT.. MY COLLECTION WAS ALL ABOUT BEING FRESH AND COLORFUL....





BEN KWEMBE....TANZANIA BEST MALE MODEL 2012 WINNER


JOSEPH, EAST AFRICAN BEST MALE MODEL 2012



OM JOSH.. TANZANIA FINEST MALE MODEL WAS MY SHOW STOPPER WEARING MARTIN KADINDA COUTURE... WORTH 500$.......

GRAND FINALE....

MARTIN KADINDA HIMSELF IN AFRICAN PRINTS.

FOR THIS COLLECTION NAPENDA KUMSHUKURU LUCKY CREATIONS KWA USHAURI....WASHINGTON BENBERA..... CK AND WEMA SEPETU

I RECOMMEND YOU VISIT MISS POPULAR FOR MORE PICS OF MY COLLECTION...CLICK HERE