FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Sunday

My designs on miss kinondoni!!



HII NI MOJA YA NGUO NILIZOZIBUNI, MREMBO HUYU ALIVAA VAZI HILI KATIKA VAZI LA UBUNIFU WAKATI WA KINYANG'ANYIRO CHA MISS KINONDONI




SEE THE COLOUR, AND FIL ABOUT IT!!



OPENLY AM HAPPY WITH MY WORK, THANX TO MISS KINONDONI COMITEE FOR CHOOSING ME AS THEIR DESIGNER!!

Wednesday

Mtambue mkali Wa XXL ya Cloudsfm



Anatambulika kwa jina la B12,
lakini jina lake kamili ni HAMISI MANDI,
ni mtangazaji wa kituo cha redio na TV,
Mwendesha shughuli(MC),
AMEJIUNGA NA CLOUDSFM MNAMO MWAKA 2003,
YEYE NDIYE UNAYEMSIKIA KATIKA XXL KILA SIKU YA WIKI,

NI COPY WRITTER NA PIA ANAFANYA VOICE OVER!!



Ni Moja kati ya Tatoo zilizo mwilini mwa B12

Tuesday

JICHO LA UKWELI WIKI HII


KWELKI NIMEAMINI DADA YETU MALIA OBAMA HAACHI ASILI , TUMEMFUMA AKIWA NA MWITA MTOTO WA MZEE MARWA


WEE?? UMELALA KAMA SUNGURA AU NDO MA ARTITUDE YA UMODO?


KWELI WANAMITINDO HAMNA AIBU!!


SHARTI MAUZO YAFANYIKE BABU WEE! HEBU TUFOTOE!!



YOUNG CELEB!!

MBUNGE MTARAJIWA NA FASHION POLICE

MISS INTERNATIONAL 2009


AKITOKA BUNGENI


AKIKATIZA MAENEO MBALIMBALI KUANGALIA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO

Monday

InterCollege top Model winner


HELMAN S. ABBAS

Ni mwanafunzi Wa chuo kikuu mlimani the Main campus na ndiye aliyeibuka mshindi katika shindano la Intercollege Top model

Wednesday

HERE SHE CAMES AGAIN!!

LIGHT,CAMERA!!!! STAND BY!!! ACTION.................

THE SONG WRITER AND SINGER , TANZANIAN DIVA LADY JAY DEE COMES WITH HER NEW VIDEOS!! THOSE ARE SOME PICTURES DURING VIDEO SHOOTING!!
UKO JUU JiDE!

Monday

jicho la Ukweli

Oh!! brothers downhere!! smile and eye contacts talks alot!! nawapenda sana wanamitindo wetu chipukizi kwa kuwa wanajua kuuza sura zao


Hope you know who is this? She has her own style and jicho la ukweli lilimnasa sehemu akjivinjali
I DO LOVE HER!! She is an intertainer!!



TUKUTANE WIKI IJAYO KATIKA JICHO KA UKWELI

JUST lyk heaven


Do u know how it feels being near her? Tanzanian Diva, the owner of machozi Band and much more the milioner singer and song writer in TZ!! only lucky people got this special chance!! Thanx Jide!!


Sundays @ Thai village masaki
Surtadays @ Sweet eazy masaki
More details visit; www.ladyjaydee.blogspot.com

dar indian ocen yapata kifaa


Walitufungulia sho kwa single ladies ya Beyonce! do u think they are single?


tukawaona ndani ya everning dresses!! walinoga sana! and then....


Sanda is now a miss dar indian ocean! am very proud of her because she worn my dress

Sunday

THINK ABOUT THE COLOUR, AND FEEL ABOUT IT!


GIL ON LEFT, MY FIANCEE JULIE AND ME ON RIGHT

Thursday

Komandoo!


BINTI MACHOZI UKIPENDA MWITE KOMANDOO ANA KUKARIBISHA KUTEMBELEA BLOG YAKE! HAPO UTAPATA NAFASI YA KUJUA NINI KINAENDELEA KATIKA DUNIA YA MWANA DADA HUYU!

NAMKUBALI KWASABABU, HAKUNA HATA SIKU MOJA UTAKAYO UDHULIA SHOW YAKE IWE NI THAI VILLAGE, SWEET EASY AU SOMETIMES GIRAFFE VIEW HOTEL UKABOREKA!! MARA ZOTE HUWA ANATOA SHOW ZA KUPENDEZA NA KUVUTIA HEBU TIZAMA
Mwinyi Goha anakumbia MTALIMBO
Jide anakuimbia Ewe Njiwa, siku hazigandi au Mapezi yananitatiza.........
Yaani ni burudani, Ndani ya machozi band utakutana na sugua kisigino, kijoti joti!



tembelea blog yake kwa mengi zaidi!!

Wednesday

MAMBO YA KANGA ZA KALE (DIAMOND JUBILEE HALL)

HIVI NDIVYO JIJI LILIVYOTIKISIKA NA SHOW KUBWA YA MAVAZI KUTOKA KWA MADESIGNER WAKONGWE NA WACHANGA WALIPOMUUNGA MKONO MWANA MAMA ASIA IDAROUS

Mheshimiwa Waziri Simba(katikati),Asia Idarous na mumewe kushoto wakifungua Show..

Wadau mbali mbali walijitokeza kumuunga mkono mwana mama Asia Idarous...

wanamitindo wakiwa ndani ya mavazi yaliyobuniwa na Asia Idarous, kama hukuweza kufika kwa kweli ulikosa uhondo ndugu yangu!

Martin na Johari Wakionesha mavazi ya Asia Idarous

Lili model akifanya vitu vyake ndani ya vazi lililobuniwa na Asia Idarous

I real love her! anajua nini anakifanya pale aandaapo show au kualikwa katika show ya designer wenzake. Huyu ni Khadija mwanamboka na wanamitindo wake

Designer; Gymkana and his model

Well talented journalist with her designs! Zamda George (at the middle)


SHUKRANI ZA DHATI KWA WADHAMINI WOTE BILA KUMSAHAU ALLY REHMTULLAH NA KHADIJA MWANAMBOKA WALIOKUWA BEGA KWABEGA KATIKA KUSIMAMIA SHUGHULI HII KUTOKA KWANZA MPAKA MWISHO!

Saturday


LILIAN and MARTIN during kanga nite at DIAMOND JUBILEE HALL 30/4/2009

fidelin iranga, richard,martin and sasha on right side

the black colour is always powerful! Wat about ART within human body??

Thursday

SMILING FACES WAMWAGA TUZO

TUZO INA RAHA YAKE
Mtangazaji wa kituo cha Luninga cha East Africa cha Jijini Dar es Salaam, Maimartha Jesse jana amepewa tuzo ya Mtangazaji Bora kwa kipindi cha mwaka 2008 mpaka 2009 na kampuni ya mitindo ya Smilling Faces baada ya kufanya vyema katika taaluma hiyo na kupigiwa kura nyingi kupitia kampuni hiyo.

Mai alikabidhiwa tuzo hiyo mbele ya wanahabari katika Ukumbi wa Idara ya Habari, (Maelezo) hapa jijini. Ukiacha mtangazaji huyo mwingine aliyekabidhiwa tuzo na kampuni hiyo ni Martin Kadinda ambaye ametunukiwa tuzo ya mwanamitindo bora wa kiume mwenye vipaji zaidi
2008/2009.


NI MPANGO WA MUNGU KUWAONYESHA WATANZANIA KAMA UKIPAJI1 HIVYO NAMSHUKURU KILA MDAU ALIYETAMBUA NA KUTHAMINI KAZI ZA WANAMITINDO! HII SI KWANGU TUU BALI KWA WANAMITINDO WOTE NA KILA MTANZANIA MWENYE KIPAJI1 USISITE KUFANYA JAMBO JEMA KWA MANUFAA YA JAMII INAYOKUZUNGUKA, LEO NI MARTIN KADINDA KESHO UTAKUWA WEWE! GO FOR IT; MARTIN KADINDA

Maimartha akinadi tuzo yake! hongera sana

NI JAMBO JEMA KUMSHUKURU MUNGU PINDI AKUJALIAPO MAMBO MAZURI! SIKUTEGEMEA KAMA IPO SIKU WATU WATAGUNDUA NA KUTHAMINI KIPAJI CHANGU: MAIMARTHA JESSE


RICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS{RICHARD BUKOS}

Friday

His way to win a tittle!!



Henry Mwiki ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha(IFM)na yupo mwaka wa pili sasa! ana umli wa miaka 21, na ana mategemeo makubwa ya kufanya mapinduzi katika nchi ya tanzania! ni mapinduzi gani? mimi na wewe hatufahamu1 ila inabaki kuwa siri yake mpaka hapo atakapokuwa tayari kuwaeleza watanzania! hii ndio safari yake ya kuelekea ushindi!





Alionekana kupendeza zaidi na vazi la jioni! hivi ndivyo unavyoweza kutoka pindi ualikwapo katika hafla mbali mbalikuwa simple but smart, shati,suruali na kijikoti na muunganiko mzuri utakao kufanya uonekane vizuri mbele ya watu waliokuzunguka!



Hili ndio vazi lake la ubunifu kijana Henry! lilikuwa limechanganywa vitambaa mbali mbali na muonekano wake ulionekana kuwagusa wabunifu wa mavazi tanzania, kwani alitoka kitofauti
ASIA IDAROUS: Nguo yake nzuri sana, unajua uchanganyaji na uvaaje wake ni wakipekee! hayo ni maneno ya nguli wa mitindo tanzania.

Henry nadhani amejaliwa kipaji cha kuchagua nguo ambazo zinamfanya ang'ae zaidi pindi awapo juu ya stage na hii iliongeza misisimko katika show hii kwani kila mtu alijua kijana anaweza kutwaa taji hili la THE MOST HANDSOME MAN IN TZ, hapa a
kiwa ndani ya casual wear!!




Hatuwezi kujua majaji walitumia kigezo gani kutoa maamuzi ila mwisho wa yote kijana henry alishika nafsi ya pili! yaani the first runner up!na Khaleed kushika nafasi ya kwanza big up kijana, u did ur best and the rest was God's job. ila watnzania kauni tayari kwani kijana ameanza kuonesha makucha katika sanaa tanzania!!


tukutane wiki ijayo nitakapokueletea interview ya nguvu na washiriki wa shindano hili kujua maengi kuhusu wao na nini mategemeo yao baada ya kinyang'anyiro hiki!