FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

Victoria Beckham Ampongeza Elton john kwa kupata mtoto


Katika salamu zake za Pongezi posh amesema,

"David and I are absolutely thrilled for Elton and David," said Victoria. "They have so much love to give and will be wonderful parents."

Rihanna kuwa Single Tena!!



Looks like Rihanna will be starting 2011 as a single lady.

The 22-year-old has reportedly split with baseball star Matt Kemp after dating him for almost a year.

Rihanna - currently spending time with family in her native Barbados - and Matt are said to have ended things after finding it difficult to find time to see each other.

Matt, also 22, splits his time between LA and wherever his team - the Los Angeles Dodgers - are playing.

Meanwhile her hugely-successful music career means Rihanna is constantly travelling the world.

This summer, she spoke about the strain their relationship faced due to their work commitments.

"It's really difficult because we are so far from each other most of the year and we both have very demanding schedules," she said.

Monday

More pics with Me....

Pacha and bro!! we (were)was born the same date, same month...The same tribe!! Rubern Ndege!!
Naenjoy sana kupiga picha na Penny!! i really like her
Legendary Model lilian akiwa nami on stage!!
With my number 2 sisy Sarah!!

Sunday

Mvutokwanza Fashion Ambassador 2011??

Zamaradi mketema.. apart from Kazi yake utangazaji.. she can make it to the top of fashion industry!!
Fashionista Anayechipukia Pennyl Mungilwa, She always dare to go her Way....with much suprises during her live Tv show!!

Nansy Sumari...Former Miss World Africa....Well known in fashion Industry and soon ataitunuku Tanzania zawadi nzurii..Guess what is it??





5. jokate Mwegelo... former miss Tz finalist.......with strong personality and wellknown in fashion industry in tanzania.





Ukiwa ni mdau namba moja wa glog hii... pls help me to choose fashion ambassodar wa blog hii kwaka ujao, fashion ambassodar atakayechaguliwa na nyinyi, mvuto kwanza itahakikisha anawakilisha muonekano wa kweli wa kimavazi ili awe mfano wa kuigwa na wasichana wote naopenda fashion na hawajui wapi pakuweza kuona the way of being a star in your own wardrobe!! this means Mvutokwanza blogspot itatoa assistance on styling her in the best she suppose to!!

Tanzania Fashionsta 2010

blog ya mvuto kwanza inatoa majina kumi ya mafashionista wa kike na kumi ya mafashionista wa kiume ambao kwa mwaka huu wa 2010 wamejitahidi kuleta mapinduzi katika mavazi.. hii ni katika mitoko mbali mbali pamoja na maisha yao ya kila siku.. kila fashion blog imeguswa na watu flani kutokanaa na muonekano wao kwa mwaka mzima hivyo kutokana na mvuto kwanza kuwa moja ya blogs zinazojihusisha na fashion tunategemea kuwatangaza mafashionista wetu wa mwaka huu soon!!

Saturday

Mvutokwanza Designs ndani ya Tanzania Red Riborn Fashion Gala 2010

Ni wabunifu wachache sana wanaoweza kubuni na kuvaa wenyewe kile walichokibuni...loved my lace shirt!!i killed it on my own way!!
Batiki imesahaulika sanakatika ubunifu wa tanzania.. turudishe heshima yake kwakuonyesha jinsi gani unaweza kung'ara with batik... hito ni batiki top dress ambayo unaivaa na skin jeans au stockings kama nilivyomvalisha model hutu.. unaweza kutoka hivi katika mialiko classic ya jioni..kama we ni mpenzi wa fashion... try to go out in Batiki top dress na utajiona jinsi unavyofeel proud to be a tanzanian....
High waist jeans with sexy batiki top to give you outstanding look.. it feels good kwa mwanamke kuuachia mwili wako kidogo..kitovu na mabega yana mvuto kwake... i love each and every design niliyoinyesha katika jukwaa la tanzania mitindo house!!

Tanzania Red Riborn Fashion Gala 2010 with Flaviana matata Raised 24mil

Our own TMH ambassador doing her thing!!You rock Flaviana matata!!
Not only Acting.... even modelling anaiweza...Hemed
Not only singing... modelling ndio imemtambulisha katika anga ya burudani!! Mwinyi Goha!!
Fashion Editor and super Model...Giver akilisasambua jukwaa
Not 0nly utangazaji...Daxx anaimiliki vyema stage......
Ubunifu zaidi ili kuleta radha ya Onyesho!!


Ikiwaani ni siku chache tangu TMH ijipatie balozi wake.. juzi usiku ilifanya halfa kubwa ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua gari la watoito, ikiwani Hafla iliyopambwa kwa onyesho kubwa la mavazi... TMH ilifanikiwa kuchangisha shilingi milioni 24.... shukrani za dhati kwa Mh.January makamba,Mh. Mo Dewji,Mwavita makamba,Sophia byanako, na wengineo kibao ambao nitakuwa napost picha zao pamoja na shukrani zetu kwao.. kwani bila wao tusingewezaa kufika hapa tulipofika....

Friday

2010 Top 5 Runway Models

1. Myler Jamillah Nyangasa!! but when it comes to her career anatambulika zaidi kama Myler!! Kwa mwaka mzima ndio amekuwa model anategemewa kwa kufungua show!! kwa tanzania She is our first face....Ameongoza kwa mwaka huu katika Runway!

2. Evanuru... mmoja wa Wanamitindo ambao huwa nawaita zima moto kwaTanzania... anaokoa jahazzi la show kila inapoonekana kulega lega.. muonekano na uwezo alionao kuimiliki stage umemfanya aweze kufanya show nyingi kwa Mwaka huu


3.Alexia.... Utofauti wa mwili na mwendo wa madaha awapo jukwaani huteka hisia na mawazo ya wapenzi wa fashion tanzania... nafasi ya tatu ni halali kwake

4.Rihama...... mmoja kati ya wasichana wachache walioanza modelling kitambo lakini wamefanikiwa kumiliki stage na kuonekana na mvuto kila wakiibuka na Vazi la mbunifu yoyote!!

5.Neemah!! namtambua kama makutano Junction maana kila kimeo lazijma utakutana nae...anafunga list yangu ya wanamitindo bora zaidi watano wa juu ya stage kwa mwaka huu!!

Saturday

When it comes to fashion they killed "Ice Black Magic Party"

My Tanzanian supermodel Myler



Vjpenny


The Navigator


black belt...



Loved the full black outfit and Black diamond shingoni






JayGonga killed our City with ICE BLACK MAGIC.. tanzanians knows how to party bana..

Kiwalo cha mboni kilikuwa balaaa
Venture, myler with B12

Cute Fatma with her friend


Mi pendaga this dada.....



with my boss......Nuru the Light




Mai the sweetest alikuwemo ndani ya nyumba na mashoga zake.. watoto wavutaaaaaaaaaa.


With the Navigator


Si vibaya na mzee wa Mvutokwanza akijichanganya katika kikundi cha wanamvuto kwanza hawa



Vijana walijipanga....black looks good on them



Tusichana tuzuriiiiiiiii


Jokate me and Shadz......cant say a word here



Bijoux ndani ya nyuma na Ali kiba with a friend...rocking




I love them girls their more than lovers and more than sisters to me



Tukasakata rumba haswa tu.....



My dearest sister Marsha alikuwepo ndani ya nyumba.. loved kiwalo chake duh!!




sijui kuvaa ila nilijitahidi kung'aa in Black....











Friday

From Jahazi Mpaka Maskani...Huyu Hapa Captain G Habash

Pic of the day

Hot and Sexy Tanzanian Super Model..Giver meena, Bang fashion Editor! looking howt!!

Word of Apology


It has been a long time since i up dated things in my blog.. najisikia vibaya sana si kwasababu napenda ila nikubanwa na majukumu mbali mbali ila kubwa ni shule!! nimegundua kuna wadau wengi ambao mmekuwa mkitembelea blog yangu kila siku na wengine kuni email kuwa ninachofanya si vizuri.. natambua umuhimu wa kuweka habari mbail mbali hapa mara kwa mara ili nisiwapoteze wapenzi wa blog hii ila ningeomba ieleweke kuwa nahitaji pia kuzingatia masomo yangu ila kuhakikisha najiandalia maisha yangu ya baadae and not only blogging everyday!! ninapopata time nitakuwa nahakikisha mambo yanakwenda sawa!! Nipo katika mitihani ya Finals for my second semister na nadhani ni muhimi kuzingatia mitihani hii kwani sipo tayari kurudia mitihani kwa kushindwa kufikia wastani unaonatakiwa.. namshukuru Mungu tangu nianze elimu yangu sijawahi kurudia mitihani kwa kushindwa kufikisha wastani ila nadhani kwa sasa nikizidisha blog na kuparty nitajiharibia haka ka historia nilikojiweke!! Soon i will be back na tutapeana utamu kupitia hapa hapa!!
Martin Kadinda aka Survivor

Tuesday

The NExt Big Party in Dar from CloudsTv......

One Among the best party ya kufungia mwaka kutoka Cloudstv!! lets celebrate the best of young talented Guy Qwhisar....... Dont miss this kama wewe ni mdau wa burudani tanzania

Friday

Nick Minaj are You Related to Tanzanians?

Halifichiki Pembe la Ng'ombe
Ngozi ya Kirangi
You got all Tanzanians weman features!!
Are you comfortable in this?