
Hii inauzito kidogo na hata design yake imeshiba

Watoto wa familia za kifalme hii inawafaa

inaendana na pete ya ndoa pembeni yake

Simple and nice

Wedding ring as well

Pete ya ndoa pembeni inayoendana na pete Ya Engagement!!

na pete ya ndoa pembeni

Aina hii zipo nyingi sana hapa kwetu tanzania na zimeonekana kupendwa sana

Mimi nadhani hii ndo inayonifaa kwa ajili ya my baby..
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie