FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

Pole kwa wote walipoteza ndugu zao katika ajali ya jana!!


tasnia ya burudani tanzania baada ya wasanii wa kundi la 5stars modern taarabu kupoteza uhai katika ajali ya gari jana usiku mjini Morogoro.. habari za kuaminika zinasema wasanii na wapiga vyombo watano walipoteza uhai wao katika ajali hiyo na kufanya jumla ya watu waliopoteza uhai kufikia kumi na mbili mpaka wakati huu ninaandika habari hii...

Majina ya waliopoteza uhai wao katika ajali hiyo ni Issa kijoti,Husna mapande,Hamisa mipango,Omary hashim, tizo mgunda,sheba juma,Hama kinyoya, Nassoro matega,Omary tall na wale wapenzi wa club continental Geha habibu anasikitika kutangaza kuwa kisosi wa kumbi la kitu T nae amefariki katika ajali hii. Kwakweli ni msiba mzito ambao umeikumba tasnia ya burudani tanzania...Mwenezi mungu azilale roho zao mahali pema peponi Amina.. kwa habari zaidi tembelea www.michuzijr.blogspot.com ,http://www.africabambataa.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie