FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

Amber Amponda Kanye West.....

Weekend iliyopita wapenzi wawili ambao mapenzi yao kwa sasa yanashika Chat Wizzy Khalifa na Amber Rose walionekana wakipeana raha katikati ya club moja ya usiku jijini la Paris.

Tukiangalia kwa upande wa Amber Rose, katika cover story ya Gazeti la King, Amber alionekana kuponda mapenzi yake na Kanye West na kusema kwa wizzy ni kila kitu, nanukuu manenoo yake anasema,


"Kipindi nilipokuwa na Mpenzi wangu wa zamani (Kanye west) Sikuwa na Sauti kabisa kwake,Nilikuwa sielewi kila kitu, lakini kwa sasa napata kila kitu... Mimi na Wizy mapenzi yetu tumeweka wazi mbele ya dunia, hatufichi mambo yetu tunapendanaa na tunafurahia mapenzi yetu na tunataka watu wengine wfuate nyayo zetu katika mapenzi hakuna haja ya kuogopa kuwa katika mahusiano."No comments:

Post a Comment

sema tukusikie