FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

New tuesday .....New Smile

Muite Moshyn ila wengi wamemzoea kwa jina la kimodo... nae ni kipenzi wa picha kama mimi.. kazi yake kubwa pale clouds ni kuproduce kipindi cha Leo Tena.
Nilipataa nafasi ya kuzungumza mawili matatu na Loveness Love about her life na hii nywele yake ambayo imekaaa nayo kwa muda mrefu sasa.. anasema yeye atakaa nayo mpaka atakapochoka maana inampendeza kuliko maelezo...
more pics with Diva


Mkononi anacopy ya TRUE LOVE magazine...


this how my Tuesaday so far.....

1 comment:

  1. Anonymous12:05

    KINAJISHAUA HIKI KIDADA YANI FULL MASHAUZI MBUZI ALAFU HANA CHOCHOTE ANATAFUTA UMAARUF KWA MBINDE HAHAHAH NAMPA POLE SANA NA MAWIGI YAKE FAKE SI ASEMA TU HANA HELA YA KUTENGENEZA NYWELE HGANA LOLOTE MPUUZI TU HUYU

    BY THE WAY SHE IS CUTE ILA ATACHAAKA MUDA SIO MREFU

    ReplyDelete

sema tukusikie