
Tar 23/3 ya kila mwaka huwa naazimisha siku yangu za kuzaliwa na mwaka huu nilifanya the same thing na picha niliweka hapa katika blog kwa miakamitatu iliyopita nilikuwa natumia Perfume inatwa Dunhil Desire na mwaka jana nilijaribu kutumia perfume za Antonia Benderaz... ila sasa nahisi nahamia kwa Channel kutokana na msukumo kutoka kwa fashion Star wetu wa bongo Shamim Mwasha

Katika birthday yangu ya mwaka huu Shamim kaniletee allure Home Sport kama zawadi kwangu.. nilipoigusa tu nilihisi nimeipenda kabla hata sijajinyunyiza mwilini lakini leo naadmit katika perfume zote nilizowahi kutumia hii inanifanya najisikia huru kichizi nikijipulizia!! kwakuwa nachukia harufu ya jasho la mtu naamini nikiombwa zawadi na mtu nitampelekea perfume kwanza na mengine yatafuata!! so Versace, DnG mmenikosa for now!! mimi na Allure!! by the way ni
79$ na kwa duty free unaipata kwa
69$!! so ndugu zangu mkiitaji bei hiyo hapo mmtafute shamim mwasha kupitia
www.8020fashions.blogspot.com
unapoa ndika pesa kwa mfumo wa dola unaanza na $69 na sio 69$ kama tuandikavyo t shilings
ReplyDelete