
1.Before the wedding (kabla ya harusi) Best man unapaswa kufatilia kwa makini utaratibu mzima wa bachelor party kama ipo na kuhakikisha kuna vitu vya muhimu au vya kufurahisha mpaka kumfanya bwana harusi kutokusahau usiku wake wa mwisho kama bachelor ulikuwaje? kama hili ni swala gumu tafuta baadhi ya watu ambao wamewahi kusimamia harusi na uombe wakueleze uzoefu wao walionao katika hilo.

2.On the wedding day(Siku ya tukio)
Mimi kama wedding planne wenu ningependa sikuhiyo mlale hotelini wewe na groom wako ili kuhakikisha mnapata muda mzuri wa kupumzika bila stress au kelele za wanandugu ambao watakuwa wamekuja nyumbani kuungana na nyinyi kwa ajili ya hili tukio. Kulala hotelini kutasaidia pia kuweza kupata massage ambayo itaondoa uchovu wa maandalizi yote ya siku zilizopita, pia itakuwezesha wewe Best man kupumzika maana wewe ndo utakuwa msaada pekee kwa bwana harusi, tambua kuwa wewe ndio utamwamsha bwana harusi leo, utakikisha ameoga na kujiandaa mapema na utahakikisha usafiri upo tayari na

Baada ya reception mara nyingi unapaswa kuwasaidia maharusi kuhakikisha mizigo na zawadi zipo tayari kwa safari yao ya kuelekea honey moon au pia unaweza kuombwa kuwaendesha mpaka hotelini au airport yarai kwa maisha yao mapya

No comments:
Post a Comment
sema tukusikie