Binti huyu ni Yatima ambaye anaumri wa miaka 21 na amekuwa akilelewa katika kituo cha mayatima ambapo anajumla ya ndugu 13(naposema ndugu 13 namaanisha mayatima wenzake)
Ana degree ya Human Resource na kashafanya kazi katika makampuni ya Utangazaji kabla ya kutwa Taji la Miss World
Ana degree ya Human Resource na kashafanya kazi katika makampuni ya Utangazaji kabla ya kutwa Taji la Miss World



'Unfortunately I lost both my parents at a very young age which led me to study for five years in a nunnery. I spent my five years in there and my dream was to become a nun
Read more: http://www.dailymail.co.uk/femail/article-2058313/Miss-World-2011-winner-Miss-Venezuela-Ivian-Sarcos-dreamed-nun.html#ixzz1dBlDwaSl
HONGERA ZAKE LAKINI ILA NAELEWA ANAUMIA KIASI GA NI KUTOKUWA NA WAZAZI MIMI NATAMBUA MANA NILIACHWA MDGO KWELI ILA MUNUGU NI MWEMA NIMEKUWA NA NINA KAZI YANGU NZURI.
ReplyDelete