FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Sunday

Maajabu Makuu matatu usiyoyajua kuhusu SFW Awards

Akiwa hata hajamaliza Mwaka mmoja tangu kutwaa Taji la Kisura wa Tanzania, Lethina apata tuzo ya New Face of SFW (Most Promising Model of the Year)
Mwaka Jana Zia alikuwa behind stage working as a dresser(msaidizi wa kuwavalisha models) ila mwaka huu ameondoka na tuzo mbili, Up coming Designer of the Year, and the Most Impressing Designer of the Year, am Happy for Eskado as she is one of my friends and nilikutana ne backstage and she asked if i can introduce her to fashion industry as the has this big dream, i remmember i called her one day and ask if she can take part in Tanzania Red ribbon gala ambayo ni fundraising ya kuwasaidia HIV postive kids, trust me hakuuliza mara mbili na aliingia katika mchakato, from there hajawahi kurudi nyuma!! AM SO PROUD OF HER
Designer Ally Remtulah awa mbunifu Wa kwanza kupokea tuzo Mbili kwa mpigo za fashion ndani ya Usiku mmoja, Best Designer of the Year, and Humanitarian Designer of the Year

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie