FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

ACTRESS WAKUBWA WATATU WANAONIKOSHA ZAIDI HOLLYWOOD

Angeline Jolie
mpaka leo sijapata kuona actress mkali zaidi yake, kila movie anayocheza kwangu huwa inakuwa ni hit..... siwezi kuzitaja zote ila nitakupa zilizonifurahisha mimi na ambazo hazisahauliki akilini mwangu always, mwaka 2003 ilitoka Lara Croft Tomb Raider: The Cradle of Life , then akanigusa tena katika Mr. & Mrs. Smith (2005) na Wanted (2008) na jivi karibuni katikisa dunia na Tourist movie. I truly love you Jolie
PENELOPE CRUZ
huyu ni actress mwenye asili ya kispanish, alinifurahisha sana katila ile movie ilikuwa ikifaham,ika kwa jina la Bandidas.... kacheza movie nyingi lakini Role yake katika Bandidas huwa haifutiki akilini mwangu. na her recent appearance katika movie ya pirates of the Caribbean: On Stranger Tides

Filamu alizowahi kucheza ni Demolition Man, Speed, The Net, A Time to Kill, na While You Were Sleeping. She continued with films such as Miss Congeniality, The Lake House, and Crash, Ila filamu ya The Proposal na The Blind Side Hizo ndo zilizonikuna zaidi, pia amewahi kutunukiwa tuzo yaGolden Globe Award for Best Actress,Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by a Female Actor in a Leading Role, na Academy Award for Best Actress, for her role as Leigh Anne Tuohy in The Blind Side

2 comments:

 1. Anonymous01:09

  Dogo kama unampenda Angeline Jolie tafadhali tazama movie yake inaitwa SALT, Kali sana

  ReplyDelete
 2. Anonymous04:31

  dah kweli upo right ila hapo list yangu ni
  1. Angelina Jolie"Salt"
  2. Zoe Saldana "Colombiana"
  3. Sandra Bullock"The Proposal"

  ReplyDelete

sema tukusikie