FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

Best from Oscars 2011 Academy Awards kwa upande wa Wanawake

Marisa Tomei in Charles James’ creation.
The vintage gown adorned by Marisa Tomei was created in the 1950s by Charles James. The couture dress was accessorized with Van Cleef and Arpels jewelry and Jimmy Choo shoes.Reese Witherspoon in Armani Privé.
The 2011 Oscars was truly an event where minimalist styles ruled over the usual dramatic necklines and ruffles.

Seen adhering to the trend was superstar Reese Witherspoon who looked dazzling in a black and white Armani Privé gown. Her retro updo gave a hip 60s look complimented by her sparkling emerald earrings.

Sandra Bullock in Vera Wang.
“Sandra Bullock was an Academy Award winner even without a trophy in hand” the Associated Press states.

Truly enough, her red strapless Vera Wang gown made her look very much a winner. The brunette beauty sashayed the red-carpet in regal style adding verve and charm to the event.Halle Berry in Marchesa.

Coming once again in the list of “best-dressed” Oscar stars is Halle Berry who looked flawlessly glamorous in a nude Marchesa corset-gown.

The silk ruffles on her dress complimented the detail work on the bodice.


Jennifer Lawrence in Calvin Klein.
The sexy red number by Jennifer Lawrence made her look stunning, which she paired with Jimmy Choo shoes and her Judith Leiber bag. Commended for her great fashion sense, Jennifer has opted for a simple and minimalist look for the 2011 Oscars. Her streamlined look was complimented by her soft blond waves and smoky eye make-up.

Kitaani zaidi.......

Jennifer Lopez nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Unanipa raha with you looks and your personality
Hapana Discussion hapa.. its just her in her own world..Keri hilson
Mario Lopez akiwa na mchuchu mtaani
If it happens nataka kubadilisha uvaaji wangu... nitakuwa nakuiga Trey Songz!! your stylist knows his/her job....so clean
Mama Jigga!! Beyonce herself akikatisha kitaa her simple fine look!!

Amazing talents -Connie Talbot - I will always love you LIVE

Duniani kuna vipaji-Lin Yu Chun Sings Whitney Houston's 'I Will Always Love You'

Friday

Mvutokwanza inapenda kuwapa Pole watanzania Wote walioathirika na Mabomu ya Gongolamboto

Nyumba ni zetu wenyewe, magari ni ya kwetu wenyewe na hata mali ni za kwetu wenyewe lakini ilifika wkati hatukuona umuhimu wake zaidi ya kuokoa maisha yetu....Hili ni fundisho kwa kila binadamu..siku ya kifo hakuna anayejua wala saa na sekunde... tumuombe Mungu msamaha kwa yale yote maovu tuyatendayo.. wapo ambao leo hawapo duniani kutokana na milipuko ya juzi na ipo siku mimi sitakuwepo au wewe utakuwepo.. je tupo tayari kwa huko tuendako baada ya haya maisha haya?? nimekuwa nikitokwa na machozi nitazamapo picha hizi.. najiuliza je na mimi ningekuwa mmoja ya waliofariki? ni msafi wa kurudi kwa Muumba? tubadili mienendo na tabia zetu na kuachana na kelele kwa rais au serikali.. angalia maisha yako na upendo wako kwa kila anaekuzunguka? ni watu wangapi leo hii umegombana nao na hutaki hata kuwasikia? unajiona wewe ni Mungu kuchagua anayekufaa na asiyekufaa?
Ardhi yetu nzuri na yenye rutuba ilibadilika kuwa kiwanja cha kutua makombora ya kijeshi.. simlaumu Raisi, kamanda mkuu au mkuu wa majeshi kwakuwa kila jambo linatokea hapa duniani Mwenyezi Mungu alishalijua kabla na akaliacha litokee. tuepushe marumbano na kuwasaidia walio katika kipindi kigumu kwa sasa kwa kukosa mavazi, malazi na chakula.. na tutapata thawabu kwa mungu badala ya kupiga kelele zisizo na na faida kwa waathirika wa janga hili
Tupo garini lakini hata hatujui tuendako... ni katika kunusuru roho zetu zilizojawa na hofu.....
Sikuwahi kutegemea ipo siku tutakuwa kama wakimbizi!! Eh Mungu ibariki Nchi yetu na kuiepusha na mabalaa yote!!
Jukumu la kuokoa watoto kwa wakati huu halikujali baba wala mama kila mmoja kwa uwezo wake alijitahidi kuhakikisha watoto wetu wako salama ingawa wapo waliopotea kabisaa kwa mshtuko....
tukiachana na hayo hapo juu hivi kunatatizo gani tukipewa taarifa juu ya idadi sahihi ya waliofariki? Arjezeera inatangaza idadi yake, CNN idadi yake na vyombo vya nchi yetu idadi yake!1 tumwamini nani sasa???????

Thursday

@ Serana Hotel Zanzibar during Drug free zanzibar with Ally remtulah

Lovely Mr&Mrs Raqey mohammed
Martin akiwa na dada zake pembeni...My best sister Sarah na my model Warda
Mungu katika kuumba kweli unaumba...Shabashiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kutoka moyoni huyu dada ana nafasi kubwa katika maisha yangu... we got ups and down but she has always been there!! i love you sarah!!
picha zina raha yake hasa in good loccation, nice camera and great photographer!! thank You Raqey


Shukurani za Dhati kwa I-view Media kwa picha hizi!!

Kwa Ufupi kutoka Katika Lady in Red fashion show 11/2/11 movenpick

Mabinamu wawili wanaokimbiza tasnia ya Mitindo(fashion) Tanzania, Jokate na Elsi looking super Fine
Hapana uliza swali hapa... she is fashion for the night!!
mdau wa Fashion kutoka kwa mustafar hassanali..Frank alikuwepo tu make his statement
She is just your cousin Jokate. acha mikwara basi!!
Thanx to cloudtv kwa kutambua kile nikifanyacho... nilipata Interviw fupi na the man himself Ceasar Daniel
Mdogo wangu in Fashion..Sam alikuwepo pia kumake sure things goes well backstage
Naona Ceasar alitupia kitu cha Red pale kati......poa sana akiwakilisha cloudstv
Kila mwanamke akipendeza anapenda kusifiwa... haya wadada mlipendezaaaaaaaaaaaaaaa

Wednesday

Tanzania Red Riborn Fashion gala 2010 II



Fiderine alipendeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! black Gaga ulitisha maa


Mbunifu anayekuja juu kwa Kasi...Fransisca
With my models!!
Stylist rio akiwa na madesigner!!
much love to Victoria Martin na Daxx
My Girl Bijoux on the red Carpet... loves you mumie!!
Mwanamitindo wa Zamani Hawa Ismail akipita juu ya Dhuria jekundu
Mamaa 8020fashions alikuwa anang'aa ile mbaya siku hiyo!!
Kimora Lee wa bongo...chezea yeye
Jide alikuwa ndani ya Mustafar Hassanali's designs !! she was so fly!!
Udesigner ni kazi... huyu ni Ally Remtulah best 2010 fashion Designer
Here he is....Mustafar Hassanali himself
Mama Kenzo alikuwepo kushow much love.....Mange kimambi
Hongera zake Zamda George amefanikiwa kujifungua salama... kipindi hiki alikuwa bado anategemea

Swimming at Funkys with my Girls!!

Napenda Maji tena sana... nikiwa nimeboreka au siko katika mood nzuri...Swimming ndo dawa kwangu
Si mbaya ukiwaelekeza wasiojua japo kidogo jinsi mim ninavyofanya... japo sijui kuogelea lakini nina Idea
Kijana nyoosha mkono huoni wangu umenyooka??
Slyvia Shari alijumuika na mimi
I just love these two girls.. ila waliniudhi mimi naswim wao wanapiga tu picha
Slyvia and Myler
Also Cindy alikuwepo
Baada ya kuchapa maji sana nilipata bahati aya kupiga nao picha maana wangejaza camera bila mimi kuwa nao!!