FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Friday

Ludacris akasign kitabu cha wageni kutoka Hollywood niliokutana nao

Always huwa nafurahi pindi napokutana na watu waliweza kuendesha maisha yao na kuajiri wengine kupitia kazi zao! nilijisikia faraja sana nilipokutana na Naomi Campbell mmoja wa mastaa wa kubwa katika fashion duniani, kutoka hapo nikawa na kiu ya kumeet more celebrities from all over the World, haikuchukua muda Mrefu nikakutana na Star wa filamu Africa Ramsey Noah, Shaggy akafuata na Sasa nimekutana na Ludacris, kila nafasi kama hizi zinapotokea huwa napenda kuzitumia vizuri si mbaya my portfolio ikiwa na picha nilizopiga na Celebrities walifanikiwa kimaisha, Mungu sikiliza maombi yangu niweze kufanikiwa na kuja kuwa role model kwa wale wanaonipenda na kunisupport kwa kile kidogo ninachokifanya hivi sana.

2 comments:

  1. Anonymous09:57

    lol this is kinda funny..yaaan kudinda we kupiga tu picha na international celebrity ndo unaona umefanikiwa..aaaaaaaaaaaaaah mazeeeeee hii ni kitukosana..ingekuwa bora unafanya nao kazi na tunaziona ingekuwa bora zaidi kuliko kupiga tu picha na kusalimiana cha zaidi atasiini autograph...fanya kazi dogo usipende kujiona kupiga picha na celeb ni fahari its just a small thing after all

    ReplyDelete
  2. Anonymous01:57

    Am happy wit you twin martin may god give you more thng to cum, its mohd maukwe

    ReplyDelete

sema tukusikie