FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Saturday

Girlfriend wa Chris Brown achora tattoo ya Zipu mguuni

Girlfriend wa mwimbaji mwenye kipaji Chris Brown Amechotora tattoo katika moja ya mguu wake! picha zake zilizopatikana hivi karibuni zimeonyesha mchoro wa zipu unaoanzia chini katika Ankle mpaka katika paja lake!! nimeona tattoo hii ipo tofauti na za wasichana wengi ambao huchora mgongoni, katika matiti yao au wengine hata usoni au katika meneo nyeti!! Karrueche Tran umetisha kwakweli

3 comments:

 1. nampenda kisenge huyo demu.KAMA MWENGINE YUPO ANITAFUTE gilbertobadia@gmail.com

  ReplyDelete
 2. Anonymous01:16

  daaah uyo dem wa ukweli ile noma xana

  ReplyDelete
 3. Oyo mm nahisi rihanna hafikii hapo

  ReplyDelete

sema tukusikie