
Lady Gaga amekamata nafasi ya kwanza kwa kuwa na followers 11,576,804. nadhani huu ni mwaka wa Lady Gaga maana forbes wamemtaja kama the most powerful woman kwa mwaka huu
Nafasi ya pili inashikiliwa na Justin Bieber kwakuwa na Followers 10,961,204
Raisi wa Marekani Barack Obama amekamata nafasi ya Tatu kwa kuwa na followers 9,904,371
Nafasi ya nne inashikiliwa na Kety Perry na Britney Spears wenye followers zaidi ya 8,000,000



Hope one day na mimi jina langu litaingia katika hizi rekodi za dunia! pole pole ndo mwendo
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie