FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179
Tuesday
Photographer Terry Richardson aamriwa kuondoa picha za harusi ya Super Model kate moss katika blog yake
Urafiki alionao mwanamitindo Kate Moss na Mpiga picha maarufu duniani Terry Richardson ulitaka kupata misukosuko hivi karibuni baada ya Photographer huyu kuweka picha za harusi ya Star huyu mkubwa duniani katika blog yake kitu ambacho hakikutakiwa kufanyika, picha za Harusi ya mwanamitindo huyu zitaonekana tu katika Gazeti la Vogue ambao ndio walipata Deal ya kutoa picha hizo, hivyo swala la Terry kutoa picha hizi zingeashiria kuharibu dili iliyokuwepo baina ya staa huyu na gazeti nguli duniani la Vogue, Ndoa ya Kate Moss ilifungwa tar 1 july na police walihakikisha hakuna mtu yoyote anayesogea eneo hili la tukio bila kuwa na mwaliko maalum
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie