
Producer wa Tuzo hizi Brett Ratner amesema kuwa kuchaguliwa kwa Eddie murphy kunatokana na kuwa yeye ni mmoja wa wachekeshaji mahiri duniani ambao wanafanya vizuri katika live perfomance, kigezo cha zaidi alichokizingatia katika kumchagua eddie ni kutoka na uelewa mkubwa alionao katika filamu na amekuwa ndani ya tasnia hiyo kwa muda mrefu hivyo ataweza kuchangamsha tuzo hizi kwa kiasi kikubwa
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie