FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Sunday

Majukumu Yalinibana

Last week nilikuwa kimya upande wa Blog kidogo, hii ni kutokana na kuwa nje ya jiji la dar es salaam, Nashukuru Mungu it was a huge Job lakini nimeikamilisha bila makosa wala lawama kutoka kwa Client wangu, Jiji la Arusha huwa lina show moja kubwa ya mavazi ambayo huwa inalengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kutatua matatizo mbali mbali ya kijamii, kwa mwaka huu maridadi fashion show ilikuwa inachangisha fedha kwa ajili ya kuendesha kituo cha kusaidia wasichana walikubwa na matatizo ya kubakwa
Kwa mwaka jana Mbunifu mahiri wa mavazi Tanzania Mustafar hassanali na Team yake walisimamia swala zima la production, lakini kutokana na kuwa na majukumu mengi ya kiofisi hakuweza kuwa pamopja na team nzima ya Maridadi hivyo Martin Kadinda ndipo nikapata Kazi ya kuproduce show hii!!

Ni show ilikuwa na Watu mia 400 na zaidi na asilimia kubwa walikuwa ni asili ya kigeni!! ndugu zangu kwa kugundua hilo niliamua kuweka blog pembeni nipige kazi: picha za show nzima zitakuja soon, huyo pembeni yangu hapo juu anaitwa Feza Kessy kama mnamkumbuka aliwahi kutingisha kambi ya miss Tanzania mwaka 2005Katika Launching Party ya show ya Maridadi nikiwa na Model Gyver Meena

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie