FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

Tatoos


Kila Kijana Sikuhizi nimeona anakiu ya kuchora tatooz katika mwili wake!! nashindwa kuelewa sababu kubwa ya kukufanya kuchora tatooz ni nini? ni kwakuwa umeona watu wamechora wamependeza na wewe unataka kuchora? or there is specific reason to do so??

Kama kweli we ni mpenzi wa tatoo na undhani ina umuhimu katika maisha yako hakikisha unakubaliana na watu wako wa karibu swala la size na eneo gani la kuchora, kumbuka tatoo will stay in your body for the rest of your life, usije ukajichora leo na baada ya mwaka mmoja unaanza kujutia!!
Ni hilo tu nililotaka kujuzana na wewe mwenye ndoto za kujichora tatoo mwilini mwako

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie