FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

Rihanna afanya Kioja Wakati wa kurekodi video yake Mpya ya "We found love"

Weekend iliyopita mwanadada Rihanna alimshangaza mmliki wa shamba ambalo alikuwa natumia kurekodi video yake mpya!! wakati wa urekodiji wa Video hiyo mwanadada Rihanna alionekana akiwa amevaa siiria na shati kubwa wa juu huku sehemu ya chupi yake ikionekana, Swala hilo lililmshangaza mmliki wa Shamba hilo bwana Alan Graham 61
Akiwa mwenye mshangao Alan anasema sikujua kama kuna swala la nguo za ndani kuonekana katika hili swala, lakini Rihanna aliona ni jambo la kawaida yake
Video hiyo ambayo iliwapa polisi ya ziada ya kuzuia mashabiki waliokuwa wamejazana eneo hilo la kurekodia wakitaka kumuona tu rihanna na hata kupiga naye picha, hata hivyo ilimchukua rihanna dakika 20 tu kuhakikisha anaweka mambo sawa na kuwashukuru mashabiki wote waliyojitokeza eneo lile, alisema " Naipenda Belfast na nawapenda wote, asanteni sana"

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie