
Vimwana wa Tanzania 2011

Tano Bora

My Girl Alexia William

Everning Dresses

So fly

Beach wear Designed by Kisa wa KIKI'S designs

Sheria Ngowi ndio alipika hivi Vivazi

Vivazi vitamu haswaaa

Kidukkilikuwepo katika opening Show

Tanzania ndio nchi yetu

Nyavu walikuwepo kuhakikisha Show inakwenda live

Juliana Kanyomozi Perfoming on Miss Tanzania Stage

Juliana Kanyomozi Looking So fly

Millen (Happiness) Magese alikuwepo kushuhudia onyesho hili baada ya miaka kumi toka alipotwaa taji hilo la miss Tanzania

Internationa Model Mtanzania mwenye mafanikio makubwa Cynthia Masasi alikuwepo ni mmoja wa majaji katika Shindano hili!! Am so proud of you!! your back home

Jokate aliwaka mbaya!! well dressed and can u magine!! alikuwa mtupuuuuuu!! just hilo gauni tu? sexy sexy sexy!!

So proud of You Jokate!! in Your own creation kwa msaada wa Mustafar Hassanali

Millen Magese on Stage na Taji Liundi

Jackline Kamkala MD wa Allure International in Martin Kadinda Design

The Whole dress!! kazi ya mikono yangu Mwenyewe

Mr & Mrs Right looking great!! Nancy Sumari na Luca

Yap Call Her Mama Collins

The Super Model Belina Alikanyaga Red carpet na hakuona Tabu kupiga picha na Mdogo wake!!

She used to Be Mrs Kadinda, i wonder who she is dating now!! Esi looking fly!! na swagger zake za soksi chini! ni balaaaaaaaaaaaa

Mange Kimambi, mama U turn in kiki's Design!! she was hooooowt
kwa kweli mange hiyo nguo haijampendeza hata kidogo,nancy mwaaaa na jokate mpo juu na cynthia masasi upo juu mama
ReplyDeleteJuliana nafwaaaaa upo mahali pake unalipa mama wewe ni mrembo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMartin me huwa sielewi unachovaa,hata kama ni kuwa tofauti basi vaa angalau kinachoenda na shughuli.Najua utajibu na utasema ila hujawahi kupendeza.Everning dress hahahaha me mbhavu sina.Endelea siku moja nawe utafika kutengeza wavitengezavyo akina Mustafa Hassanal na akina Sheria.
ReplyDeleteI like how Cynthia is carrying herself. Very reserved/classy personality! You look great and Kudos to you!
ReplyDeletewewe martin what do you mean unaposema jokate yuko mtupu inamaana alikuwa hajavaa chupi? and how did you know kwamba hajavaa chupi? alikuonyesha kuwa hajvaa
ReplyDeletemimi katika yote naombanitoe wazo jamani nalisikike huko sisi kwanini tunashindwa u miss wa dunia mimi nimeona tatizo watuwanao endakule weupe na sisi niwa africa kwanini ajawaikuchanguliwa mtu mweusi au anamvutooo kumbukeni rangi ni muhimu
ReplyDeleteMange what the heck? Martin are you serious? unavaa kama unakwenda dukani..and then you call yourself model really? Stop wearing damn graphic Tees in such occasion! Kwanza waonekan too ghetto!
ReplyDelete