
Tukikumbuka vizuri wiki chache zilizopita mwanadada Amber Rose katika mahojiano yake na chombo kimoja cha habari alisikika akisema yupo tayari kuwa mke wa ndoa wa Wizzy Khalifa nafikiri hii inatokana na kuwa na mipango ya Siri ya kufunga ndoa iliyokuwa ikiendelea. kiwa kupitia ukurasa wake wa twitter Amber Rose hivi karibuni amekuwa akimwita Wizzy mume wake nasio boyfriend kama ilivyokuwa mwanzo, check tweet yake hapo chini

No comments:
Post a Comment
sema tukusikie