FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Tuesday

Beyonce anunua Pair 25 za viatu kwa ajili ya Solange

Ijumaa iliyopita ilikuwa na Birthday ya Solange mdogo wa msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya burudani Beyonce knowles, Beyonce alikuwa nchini Uk akijiandaa na onyesho hivyo hakuweza kuwepo katika birthday hiyo hivyo kwakuwa anamjua mdogo wake vizuri aliamua kumsuprise na zawadi ya Pea 25 ya viatu kutoka stole za madesigner wakubwa duniani, Solange amekuwa ni mpenzi wa viatu kwa miaka mingi na katika mahojiano ambayo ameshawahi kufanyiwa na vyombo mbalimbali vya habari amekuwa akinukuliwa akisema anapenda sana viatu na anatumia fedha nyingi kununua viatu!! am sure hii zawadi ilikuwa ni suprise kweli kweli kwake

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie