Ni muhimu kuwa makini katika uchaguzi wa kiatu hasa kwetu wanaume!! kwanini nasema hasa kwa wanaume!! hii ni kutokana na hatuna option nyingi za viatu, viatu vyetu vingi ni vya msimu au vinakuja na kuondoka on fashion.. angalia Supraz ??for now wanaovaa ni wale tu kwakuwa wanazo ndani lakini they are so off fashion!!

Rangi na aina ya kiatu ni muhimu kuangalia maana kuna baadhi ya viatu haviingiliani na mavazi unayovaa!!


angalia designs tofauti za viatu kulingana na personality yako

No comments:
Post a Comment
sema tukusikie