
Kampuni iliyofanya production ya Album yake Colombia Records imekuwa ikifanya kazi usiku na mchana kwa kuwasiliana na bloggers wakubwa na mitandao mikubwa kuto kutawanya nyimbo hizo za katika Album ambazo bado hazijaachiwa.. pia wamejitahidi kuondoa link katika twitter zinazowezesha kudownload nyimbo za msanii huyu, Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Beyonce amesema
"Nyimbo zangu zimevuja na hivi sivyo ambavyo nilitaka iwe, Nashukuru kwa mapokezi mazuri kutoka kwenu mashabiki wangu, maana kila niandikapo na kuimba nyimbo zangu huwa nawafikiria mashabiki wangu, hivyo natengeneza muziki ili watu wangu wafurahi na kuburudika, ni jambo jema kuona kila mtu anahamu ya kupata nyimbo zangu mpya"
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie