FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Monday

All the Best Teddy Kalonga

Mwanamitindo wa kitanzania Aliyejipatia Umaarufu kupitia vipindi vya televisio hapa nchini Tanzania na baadae kuhamia nchini marekani baada ya kufunga ndoa Teddy kalonga anategemea kujifungua miezi michache ijayo!! katika khali ya kuonyesha furaha aliyonayo Teddy amejibatiza jina la mama Malaika hii inatokana na kuwa na malaika ndani ya tumbo lake!! am so happy and proud of her maana baada ya kujipanga kimaisha sasa ameamua kutuletea mjomba!! kila la heri my sweet Teddy as u start your new life kama mama.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie