Shaggy in Tanzania- Zanzibar "aliwapagawisha sana tu"

Muziki ni kazi na ni maisha yangu pia
Zanzibar can u feel me?
This is my swagger

Feel the rush

Mr loverman

Ngome kongwe parifulika vyakutosha

wanahabari pia walikuwepo

nilituliza akili hapa baada ya purukushani za siku hii

i love setting ya vyumba vyao
Pana mazingira ya kinyumbani zaidi
Zanzibar beach resort ndipo tulipofikia

Akisign kitabu cha wageni

Media haikuwa nyuma kuchukua kumbukumbu

Umati ulimzunguka

Jamaa ni mpole na mwenye kupenda kutumia muda wake mwingi kusikiliza na kucheka tu

Am so proud of myself huyu ni star wa 3 sasa nafanya nae kazi...

Shaggy akiwa na mmoja wa Fans walioungana naye katika safari ya zanzibar

Many thanx to Joe kusaga kwa kufanikisha kuja kwa Shaggy Tanzania kwa mara nyingine tena na pia kwa kutoa private boat yake tuitumie katika safari ya kwenda Zanzibar, shaggy wanted to Experience something new and i think hii safari ya boat kwenda zanzibar ilikuwa poa kwake!!

Head of Marketing kutoka SBL alikuwepo nasi katika safari hii na Shukrani za Dhati kwako kwa Vinjwaji ndani ya Boat maana hakuna kinywaji ambacho ungeitaji na ukose!!

Vijana kutoka 69 records walikuwepo ndani kurekodi baadhi ya vipindi vya ile tamthiliya yao inayoendelea Clouds Tv

Slyvia Shari na rafiki yake nao waliungana nasi katika Safari hii ya Zanzibar
mh.... martin you enjoy'd alot wit shaggy been around with people of zanzibar karafuuuu land shekhee wanguu... its mohd maukwe
ReplyDelete