
Picha laanzia hapa zuriani

katika zuria pia Khadija mwanamboka alikuwepo

I real love jokate mwegelo!! no words can Express this

Kill the with those eyes JK8

Kwa Swagger tu Pennyl wanimaliza.. ally remtulah ulitisha na manyoya yako baba

smile

My gurl Pennyl killed it with her short dress!!

Kuzubaa kidogo si nikatwangwa busu bana

Kila mtu na Swagger zake, Big bro Hasheem, Maylove na Hamis Mandi "B12"

Kuuita hii ndo ya pili kwa Jay Dee ni masihara tu!! kamwe hakuna wa kumreplace Gadner ndani ya moyo wake!! ila dada yangu alitupia ile nguo yake aliyoivaa siku alipofunga ndoa!! kwangu ni kama alikuwa anakumbuka special day ya maisha yake

Call her Marsha the fashion Star wetu, kijungu hiki kimetoka wapi marsha? asije kuwa babu wa loliondo anakunenepesha maana nasikia mchina kashuka katika chati now
HABARI YAKO WANGU BADO KILIO CHANGU KWAKO DEM WAKO PICHA HIVI INAMAANA HUTOKI NAYE KWENYE PART AU HUNA DEM NIAMBIE NIKAFIE MBELE HUKO.BY THE WAY MMEPENDEZA.
ReplyDeletewhere,s ur gal martin?
ReplyDeleteawosame
ReplyDelete