FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Thursday

Breaking New!! Nelly Kamwelu,Former Miss Ilala Planning to be Engaged soon



Shines more than never Before.. lol




Kama mastar wa movie yakihindi vile!!



She is among the people i support on whatever she wanna do in her life!! the resoan behind is because she really respect me and understand me!! i met her last week and She was very nervous to tell me what she wanted to tell, in my mind i thought maybe she has problems!! kumbe si chochote zaidi ya hiyo breaking News ya kuwa nategemea kuwa Engaged soon, amekuwa katika relationship for more that 3Years so anaaamini amemjua mchizi vya kutosha na sasa niwakati wake wakuwa Engaged about kuolewa kabisa anasema bado kidogo, itachukua muda kwa yeye kuamua kuolewa kwa sababu anaamini ndoa ni jambo la Heri hivyo si lazima kufanya mambo haya haraka haraka!!

Tuesday

Each moment in my life is full of happiness


Me and my man!!



Najuta kwanini sikuolewa mapema





I wonder kipi kinanifaha mimi hapa!!!!



Thanx for being my Fan... nawapenda na kuwajali
Lady Jay Dee, Binti machozi

Sunday

The job I did recently at my working station, as a Graphic Designer



And i was supervised by...

My shoe,My style!!

kila mtu anastyle yake ya uvaaji na kwa wakati anaojua Yeye!! hii ndio style yangu mimi ya Uvaaji viatu!! My Best shoes Design is GEOX na ni ukweli ulio wazi!! wanaonijua mimi kwa undani watalikubali hilo? how much it cost? just goolge it!!!

muda huu hiki ndicho kipo mguuni mwangu!!




I wish ningekipata hiki kwa ajili ya zile party zetu za facebook ambazo dress code huwa ni Casual mara nyingi.. hichi kingeendana na wakati huo!!




Dress code ikianimbia Smart!! I will go with this one!! or the next one down here





Hii itanifaa kwa kuendea beach!!






What is your style??

Friday

jicho langu wiki hii!!


Wanna became a photographer so ur learning au mdau kaomba umtizamie?



After being a beauty Queen umekuwa make up artist au ulikuwa tu unamsaidia mrembo?



Sijaelewa hapa! unataka kuwa Dj? au ni style yako unayotumia now days kudhihirisha no matter what your having u can still be Sexy man as Diva recognised you?



HApo kwenu au ugenini? umekaribishwa au umejikaribisha?



Umeamua kuachana na ubunifu na kuwa Model? sijaelewa bado!! au unataka kulibunia jiwe nguo?

Mwanamke Hulka!!


Mamaa Geha wa Heka heka!!


Unajua mara nyingi huwa nacheka sana nikipata nafasi ya kusikiliza leo tena hata kama ni kwa dakika kumi tuu! hasa katika ile segment ya heka heka!! leo nilipata bahati ya kuzama mpaka studio nikasikie live instead of kusikiliza redioni!! Man , mbavu nilikuwa sina! hawa wadada siwatukani ila nahisi ni vichaa!! Yaaani they know how to intertain their audiance!!
!!

Hair Talk!!




Yo my people! leo nilipata chance ya kupita pande za ofisi flani flani hapa town nikakutana na MTV BASE presenter Vannesa!! kilichonifurahisha kutoka kwake ni jinsi anavyojiweka fresh!! Duh! mdada anang'aa ile mbaya!! nikaona si mbaya kama nikikuletea picha ya style yake ya nywele!! Because nimeona nywele yake inaongea ile kichizi!

Thursday

More suprise to come!!


Anatambulika kama Moracka na amejizolea umaarufu zaidi kupitia kipindi cha Ala za roho cha cloudsfm kinachoendeshwa na mwanadada Loveness Love baada ya kushinda taji la The Sexiest Man in Dar na kuwabwaga wakali kama Luca na Ben na wengineo kibao!! Juzi kati nilipata bahati ya kukutana na mshikaji maeneo flani ya kujidai katikati ya jiji na nilimuuliza vimaswali vyakizushi bwana!

Me: unajisikiaje kutambulika kama The Sexies man in dar?
Mo: honestly am happy and am proud of myself bro.

Me: unadhani ulipendelewa kwa njia yoyote kushinda taji hilo?
Mo: kaka ulikuwa haufatilii nini shindano? kwanza yule mdada aliyeandaa shindano nilikuwa sijuani nae by that tym so sidhani kama angeweza kunipendelea mtu asiyenijua, then Watnzania ndio walikuwa wanapiga kura!! so wao ndo wamechagua nani mshindi! swala la kupendelewa mimi silijui kabisa!!


Me: Do u have anyplan in this Entertainment Industry?
Mo: yes!! alot of!!

Me: And what is your plan so far??
Mo: ahha ahha ahaa haha aha cant tell You right now! but what i can tell u! open your Eyes and ears utajua tuu soon

Saturday

Ni aina gani ya Perfume inakufaa??


Mambo mix For You!!


Hah ahha ahha u cant believe hata barack obama Perfume inakufaa kama una dau la kueleweka!!



No need to dream any more! they have Dreamer for you!



Hii hapa Desire!! man, am sure every woman will be atracted to u as soon she Smells this Perfume in ur body!!




Among the top Selling perfume!! here we have Dorce and Gabbana



Have u Tried Kelvin Klein? Man!! this is the best although very Expensive here in dar.




Cool Water ni among the perfumes nazikubali na ndio ninayoitumia(But am using cool water for man)... hii Cool water freeze me inawafaha wadada na ina harufu ambayo hawezi kumkera mtu. i mean manukato yake poa sana

Stars on making in Dar es salaam


Well Known Radio presenter,Actor and master of Celemonies(MC) Captain Gardner G Habash


A beautiful Actress, much on confidence and true on actin!! known as Irene Uwoya Wa Ndikumana





Ala za Roho sexiest man, singer and founder of music group!! Moracka on Spot



Known as Zungu, up coming model who appeared in alot of Vodacom advert and new africa hotel adverts!! Who has true love on Photography!! I wanna be a legend of photography as my Bro Raqey!!

Mdau akijivinjali katika Party


Anajulika sana na wadau wa burudani Bongo kwani anajua kujichanganya katika Shughuli mbali mbali!! ni mdau mkubwa wa Machozi Band!! huyo hapo Herry Nasser

Wednesday

Deal kutoka elite model look!!

Maisha baada ya MAISHA PLUS



Anajulikana kama Steve wa MAISHA PLUS lakini jina lake halisi ni Steven Sandhu Mwenyeji wa Arusha!
Mvutko kwanza ilipata nafasi ya kuzungumza nae baada ya kukutana sehemu flani akiwa bussy na maandalizi ya utengenezaji filamu yake na kijana mwenzie wa maisha plus Charles

Steve kwa sasa amejikita katika tasnia ya filamu na uanamitindo na tayari ameshacheza filamu inayokwenda kwa jina la WAKATI
Humo ndani amekamua kama main character! ndugu yangu filamu ni bomba kichizi na inaingia sokoni hivi karibuni! kaa tayari kumcheki dogo humo ndani anavyokamua.



Ukiachana na Swala la filamu, Steve ni Tourism operater na tour agent! na anamategemeo makubwa ya kuleta mapinduzi katika ubunifu wa mitindo, hii inamaanisha kwamba jamaa ni fashion designer chipukizi, na anafocus zaidi katika soko la watu wazima! anaamini hao ndio watakaoweza kuendeleza mavazi ya ndani ya nchi!! pia anampango wa kutengeneza nguo zakiume zaidi kuliko za kike!



katika watu anaopenda kuwashukuru katika maisha yake ni Mwenyezi Mungu, wazazi wake na DMB ambao hao ndio waandaaji wa maisha Plus!!

Ana mategemeo ya kuwa mtangazaji wa TV!!


Na anapenda kuwaasa watanzania waachane na uvivu na kujishungulisha ili kuleta maendeleo katika jamii Yetu!!



Mvuto kwanza inamtakia kiloa la kheli Steve and we Hope he Gonna archive his target!!

Malkia Wa night Express



Bibie Sophia Kessi kwake urembo ni jambo la kumfurahisha hasa unapotunza ngozi yako kwa vimelea asili na kuachana na vipodozi vinavyotegenezwa viwandani! Ngozi yake ni maridani na anajivunia zaidi kuwa mwafrika!!

Anakwambia kunywa maji kwa wingi na kula matunza ndio njia pekee inayomuwezesha kutunza ngozi yake Asili!

Kweli yeye ni mwannamke wakiafrika!!

Tuesday

Delicious Diva With Shut Up Hair Style


Daim hot! hair do,lips and killing Eyes!! Known as Diva but for me She is Delicious Diva



Fashion Polis leo imeangukia kwake mwanadada Eligiver Godwin!! Mdau wa urembo unahitaji kushika tention za watu pindi uingiapo katika mkusanyiko wa watu, hapa Delicious Diva alikuwa katika party fulani! ukimtazama kwa makini moyo wako na macho yako yanakubali kuwa umekutana na msichana anayejipenda na anayejua nini maana ya urembo! Sun Glasses za Gucci, skarfu na top nyepesi kwa majira haya ya joto!!

She is a fashionistar