Thursday
Maridadi Fashion Show Launching Party
Wednesday
Rihanna afanya Kioja Wakati wa kurekodi video yake Mpya ya "We found love"
Tuesday
Tatoos
Kila Kijana Sikuhizi nimeona anakiu ya kuchora tatooz katika mwili wake!! nashindwa kuelewa sababu kubwa ya kukufanya kuchora tatooz ni nini? ni kwakuwa umeona watu wamechora wamependeza na wewe unataka kuchora? or there is specific reason to do so??
Sunday
Majukumu Yalinibana
Last week nilikuwa kimya upande wa Blog kidogo, hii ni kutokana na kuwa nje ya jiji la dar es salaam, Nashukuru Mungu it was a huge Job lakini nimeikamilisha bila makosa wala lawama kutoka kwa Client wangu, Jiji la Arusha huwa lina show moja kubwa ya mavazi ambayo huwa inalengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kutatua matatizo mbali mbali ya kijamii, kwa mwaka huu maridadi fashion show ilikuwa inachangisha fedha kwa ajili ya kuendesha kituo cha kusaidia wasichana walikubwa na matatizo ya kubakwa
Kwa mwaka jana Mbunifu mahiri wa mavazi Tanzania Mustafar hassanali na Team yake walisimamia swala zima la production, lakini kutokana na kuwa na majukumu mengi ya kiofisi hakuweza kuwa pamopja na team nzima ya Maridadi hivyo Martin Kadinda ndipo nikapata Kazi ya kuproduce show hii!!
Ni show ilikuwa na Watu mia 400 na zaidi na asilimia kubwa walikuwa ni asili ya kigeni!! ndugu zangu kwa kugundua hilo niliamua kuweka blog pembeni nipige kazi: picha za show nzima zitakuja soon, huyo pembeni yangu hapo juu anaitwa Feza Kessy kama mnamkumbuka aliwahi kutingisha kambi ya miss Tanzania mwaka 2005

Kwa mwaka jana Mbunifu mahiri wa mavazi Tanzania Mustafar hassanali na Team yake walisimamia swala zima la production, lakini kutokana na kuwa na majukumu mengi ya kiofisi hakuweza kuwa pamopja na team nzima ya Maridadi hivyo Martin Kadinda ndipo nikapata Kazi ya kuproduce show hii!!

Katika Launching Party ya show ya Maridadi nikiwa na Model Gyver Meena
Subscribe to:
Posts (Atom)