Akiwa na Mbunifu mwenye kiu ya maendeleo ya Tanzania Fashion na maendeleo ya wanawake Mustafar hassanali azidi kuwakilisha katika nyanja ya mitindo na hapa akiwa ndani Ya Fashin festival.
Thursday
Man Colour Blocking
If your into fashion this what is on now!! we colour block.... yaani changanya rangi ila uhakikishe umepata ushauri wa wadau wa fashion maana unaweza kuonekana kituko
green on you?
It depend na weather ya eneo liliopo sio unang'ang'ania tu fashion kwakuwa ndo dunia inaangalia hilo Your personality inaangalia kile ulichokitupia kwa wakati huo
green on you?
It depend na weather ya eneo liliopo sio unang'ang'ania tu fashion kwakuwa ndo dunia inaangalia hilo Your personality inaangalia kile ulichokitupia kwa wakati huo
Michelle Obama
What makes her so powerful? kuna mambo mengi ambayo yanasababisha mwanamke yoyote kuwa na nguvu duniani pindi anapopewa nafasi ya kutumikia Jamii au eneo fulani lenye watu wa tabaka fulaniKatika List ya forbes iliyotoka mwaka jana wa 2010 Michelle Obama mke wa Rais wa marekani Barack Obama alitajwa kuwa kati ya Wanawake wenye nguvu zaidi, hii nguvu nayoongelewa hapa si nguvu ya kupambana vita au kupindua nchi ila ni nguvu ya kuweza kusimama mbele ya jamii na kusikilizwa pamoja na kugusa hisia za watu wengi wanakusikiliza kwa wakati huo.Toka kuanza kutumikia taifa lenye nguvu dunia Marekani Michelle amejitahidi kuishi maisha yake kama wanawake wengine hii inamaanisha kuwa amekuwa mshauri mzuri kwa mumewe, kuwa mama mwenye kujali mabinti zake wawili, ana mbwa pia ambaye amekuwa anamjali, hajajisahau yeye binafsi kimuonekano kitu ambacho kimemfanya kuwa fashion Icon, unadhani ni shughuli ndogo kuweza kufanya hayo yote ukiwa ni mke wa Raisi? hii yote inatoka na kuwa na wasaidizi wenye kuzijua kazi zao na kuhakikisha hawamwagushi, ukijiona una wadhifa mkubwa popote pale either wewe ni msanii wa muziki, muigizaji, mkurugenzi au mbunge tafuta watu wa kukusaidia kusimamia muonekano wako mbele ya jamii, you need stylist, you need meneja mahusiano(PR) na hata mwandishi wako binafsi ili kuweza kusimamia muonekano wako kwa jamii.Wakina mama Wengi ambao waume zao wamejaliwa nyazifa wameshindwa kuwa na muda kwa familia zao na muda mwingi kuwa katika majukwaa ya siasa na busy na shughuli mbalimbali za starehe namaanisha hauwakosi katika hafla mbalimbali za starehe!! watoto wenu mnawaacha wapi?Being a wife of the most powerful man turned you to be powerful woman hivyo basi tumieni nyazifa mnazozipata kuitumikia familia yako na jamii yako inayokuangalia kwa kipindi hicho! much respect Michelle Obama
Tuesday
Beyonce anunua Pair 25 za viatu kwa ajili ya Solange
Ijumaa iliyopita ilikuwa na Birthday ya Solange mdogo wa msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya burudani Beyonce knowles, Beyonce alikuwa nchini Uk akijiandaa na onyesho hivyo hakuweza kuwepo katika birthday hiyo hivyo kwakuwa anamjua mdogo wake vizuri aliamua kumsuprise na zawadi ya Pea 25 ya viatu kutoka stole za madesigner wakubwa duniani, Solange amekuwa ni mpenzi wa viatu kwa miaka mingi na katika mahojiano ambayo ameshawahi kufanyiwa na vyombo mbalimbali vya habari amekuwa akinukuliwa akisema anapenda sana viatu na anatumia fedha nyingi kununua viatu!! am sure hii zawadi ilikuwa ni suprise kweli kweli kwake
Amber Rose aibuka na Tv reality Show
Mwanamitindo maarufu duniani ambaye pia umaarufu wake umeongezeka baada ya kuwa katika mahusiano na mastaa wa mziki wakubwa kama Kanye West na Sasa yupo na Wizy Khalifa, Amber rose ameibuka na Tv show ambayo inakuwa inahusiana na maisha yake ya kila siku.. camera za wana habari zilimnasa Amber rose akiwa katika fukwe za Santa Monica akirekodi baadhi ya vipande vya show hiyo
"katika kipindi hiki mtaona mlolongo mzima wa jinsi nilivyokuwa nahangaika katika kutafuta eneo kwa ajili ya duka langu, sio kazi ndogo kufungua duka na watu kuja kufanya manunuzi kwako, hiki kipindi cha Tv kitakuwa ni kitabu cha wazi cha maisha yangu ndo maana nakiita "nyuma ya kivuli changu" kuna mambo mengi ambayo watu hawayajui kutoka kwangu sasa ni wakti wao kuona na kunijua vizuri"
Monday
Swagger za Vijana wa Mjini
ZIFF best actress Jokate Mwegelo na kadinda
Love the coloursMarried but still partying kama kawa!! Mariam
Love the coloursMarried but still partying kama kawa!! Mariam
Kutoka kwa Studio za Mustafar Hassanali Washington,Cinda and HamisMe and ma soulmate JackieSlyvia Shally na Martin Kadinda
Shaggy in Tanzania- Zanzibar "aliwapagawisha sana tu"
Muziki ni kazi na ni maisha yangu pia Zanzibar can u feel me?This is my swaggerFeel the rushMr loverman
Ngome kongwe parifulika vyakutoshawanahabari pia walikuwepo
nilituliza akili hapa baada ya purukushani za siku hii
i love setting ya vyumba vyao
Pana mazingira ya kinyumbani zaidiZanzibar beach resort ndipo tulipofikiaAkisign kitabu cha wageniMedia haikuwa nyuma kuchukua kumbukumbuUmati ulimzungukaJamaa ni mpole na mwenye kupenda kutumia muda wake mwingi kusikiliza na kucheka tuAm so proud of myself huyu ni star wa 3 sasa nafanya nae kazi...Shaggy akiwa na mmoja wa Fans walioungana naye katika safari ya zanzibar
Many thanx to Joe kusaga kwa kufanikisha kuja kwa Shaggy Tanzania kwa mara nyingine tena na pia kwa kutoa private boat yake tuitumie katika safari ya kwenda Zanzibar, shaggy wanted to Experience something new and i think hii safari ya boat kwenda zanzibar ilikuwa poa kwake!!
Head of Marketing kutoka SBL alikuwepo nasi katika safari hii na Shukrani za Dhati kwako kwa Vinjwaji ndani ya Boat maana hakuna kinywaji ambacho ungeitaji na ukose!! Vijana kutoka 69 records walikuwepo ndani kurekodi baadhi ya vipindi vya ile tamthiliya yao inayoendelea Clouds TvSlyvia Shari na rafiki yake nao waliungana nasi katika Safari hii ya Zanzibar
Subscribe to:
Posts (Atom)